Shindano
la Shinda Babkubwa na Ecobank jana lilikamilika kwa makabidhiano ya tuzo kuu ya
gari mpya aina ya Hyundai Tucson ix35 kwa mshindi aliyejulikana kwa jina la Ipyana Mwakasaka, kutoka Tegeta jijini, Dar es Salaam.
ambaye alielezea furaha yake, “Nimefurahi sana kuwa
mshindi wa tuzo hili la gari jipya zuri ambalo litatusaidia sana mimi
na familia yangu katika kutatua shida za usafiri” alisema Bw. Ipyana.
"Ecobank
imeonyesha
na
inazidi kutimiza ahadi
yake ya kuridhisha wateja wake pamoja
na
huduma kwa wateja ya
hali ya juu katika
matawi yake. Pia mitandao ya Ecobank
ya e-banking na ATM zimeturahisishia
uendeshaji wa akauti zetu kwa njia iliyo salama zaidi” aliongeza.
Shindano hili lililowalenga wateja binafsi,
wanabiashara na kampuni ndogondoga na za kiasi cha kati lilianza Juni 2012 na
kuendelea hadi mwisho wa mwaka 2012.
Wateja waliokuwa na amana ya
100,000 kuendelea walishiriki kwenya droo hii, ambapo kila mwezi
palikuwa na washindi wa
iPads, Laptops, vocha zawadi yenye thamani ya shilingi 500,000 na safari kwenda
Zanzibar na Ushelisheli
" alisema
Andrew Lyimo, Mkuu
wa Bidhaa na Masoko
Ecobank Tanzania.
Hii
ni moja kati ya mikakati mingi kwa ajili ya Ecobank
kukuza ushirikishwaji wa kifedha kwa Watanzania kwa kutoa huduma
nafuu
na rahisi ya ufumbuzi wa fedha kwa wanajamii
na wafanyabiashara. Lengo letu ni kutoa ufumbuzi wa
kifedha ambao umehakikisha mafanikio kwa waAfrika
kupitia mtandao wetu
mkubwa Afrika nzima,
hatua ambayo imedhibitika
kukuza ustawi wa kiuchumi "anasema Enoch
Osei-Safo, Mkurugenzi Mkuu Ecobank
Tanzania .
Ecobank
Tanzania ina nia
ya kueneza elimu ya kifedha na kuelimisha umma juu ya faida na fursa zilizopo
katika sekta ya benki. "Katika miezi
michache ijayo,
sisi tutazindua
mipango ya kukuza zaidi ushirikishwaji wa fedha kwa waTanzania
ili
kufikia idadi kubwa
ya
watu ambao
hawajafikiwa na huduma za benki"
Enoch
alielezea. Hii inakwenda sambamba na mkakati wa kitaifa kwa ajili ya kukuza
uchumi ili
kuwawezesha wananchi kupata
faida na
fursa katika Tanzania, Afrika na dunia
nzima.
Kwa
habari zaidi, tafadhali tembelea: www.ecobank.com
About
Ecobank
Ecobank ni moja ya
benki zinazoongoza katika Afrika, pamoja
na usambazaji wa nchi zaidi katika Afrika kuliko benki nyingine yoyote duniani.
Ecobank inatoa huduma za benki balimbali.
Mtandao wa usambazaji
katika Afrika ni pamoja na;
Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Cape Verde, Jamhuri ya Afrika, Chad,
Congo (Brazzaville), Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Ivory Coast, Gabon,
Gambia, Ghana, Guinea, Guinea-Bissau, Kenya, Liberia , Malawi, Mali, Niger,
Nigeria, Rwanda, Sao Tome na Principe, Senegal, Sierra Leone, Tanzania, Togo,
Uganda, Zambia na Zimbabwe
Mtandao; Ipo
katika nchi.
No comments:
Post a Comment