Waziri wa
Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifafanua hoja ya
Serikali ya Mfuko wa Mikopo kwa
Vijana wakati wa kikao cha bunge mjini Dodoma, leo.
Naibu Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Job Ndugai, akitoa miongozo mbalimbali Bungeni leo.
Ester Bulaya (Viti
maalumu ) na Mhandisi Hamad Yussuf
Masauni (Kikwajuni) kulia wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bungeleo Dodoma.
Mnadhimu Mkuu
wa Upinzani Bungeni Tundu Lissu (kushoto) akizungumza na baadhi wa wabunge wa
kambi ya upinzani baada ya majadiliano ya
hoja binafsi iliyoletwa Bungeni na Dk. Hamis Kigwangala (hayupo
pichani).
Mbunge wa
(Ubungo) John Myika akiwasilisha hoja binafsi juu ya kuboresha upatikanaji wa
maji safi na ushughulikiaji wa maji taka katika jiji la Dar es salaam Bungeni
leo.
Mbunge Hamis Kigwangala (Nzegakulia) pamoja na Juma
Nkamia (KondoaKusini) wakiunga
mkono hoja Bungeni leo.
Baadhi ya wabunge
wakielekea ndani ya ukumbi wa Bunge leo Dodoma. Picha Zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
+akiongea+na+baadhi+ya+wabung+wa+Upinzania+Upinzani+wakijadiliana+nadi+y.jpg)
No comments:
Post a Comment