Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi bajaji mpya mlemavu wa miguu ambaye ni mfanyakazi wa TANROADS Bi.Sarah Nalingigwa Nkumbo. Makabidhiano hayo yalifanyika Ikulu mjini Dodoma leo asubuhi. Kulia ni Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli.Wapili kushoto ni mke wa Rais Mama Salma Kikwete na kushoto ni mkurugenzi Mkuu wa TANROADS Injinia Patrick Mfugale. Bi. Sarah ambaye ni Mfanyakazi wa TANROADS mkoani Singida alikabidhiwa Bajaji hiyo ikiwa ni ahadi ya Rais alipokuwa akifungua Barabara ya Manyoni- Itigi Picha na Freddy Maro
MAHREZ AIPELEKA ALGERIA MTOANO AFCON
-
TIMU ya Algeria imefanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora baada ya ushindi wa
bao 1–0 dhidi ya Burkina Faso usiku huu Uwanja wa Moulay Hassan Jijini
Rabat nch...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment