Habari za Punde

*YALIYOJIRI KATIKA SAFARI ZA WEEKEND ZA LAKELAND AFRICA

 Usiku Watalii wakiwa wamepumzika huku wakiota moto na kupiga stori, kubadilishana mawazo.
 Asubuhi wakiwa wameamka katika Mbuga ya Taifa ya Mikumi.
 Baadhi ya watalii hao waliowahi kuamka wakipata kifungua kinywa wakati wengine wakiendelea kuuchapa usingizi katika hali ya hewa muluwa tofauti na ya jijini Dar.
  Watalii hao wakiwa wamejipumzisha na kupiga story muda wa mchana.
 Ulikuwa ni muda wa kuona baadhi ya wanyama kama Mamba katika moja ya bwawa la Mamba lililopo katika hifadhi hiyo.
Watalii hao wakijisevia mlo wa mchana baada ya matembezi katika mbuga hiyo.


Lakeland Africa wikendi hii inakuletea safari ya kwenda kwenye makumbusho ya kihistoria Kilwa, safari itakayofanyika Feb 16-17, 2013 wakati Februari 23-24, 2013 Lakeland Africa watakupeleka kujionea maajabu katika Mbuga ya Selous game reserve.
Kwa taarifa zaidi piga simu +255 222 761811 or +255 784 885 901 au tembelea www.lakelandafrica.com

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.