Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (katikati) akiwatoka mabeki wa African Lyon, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara unaoendelea hivi sasa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga inaongoza kwa mabao 2-0 yote yakifungwa na Jerry Tegete.
Waziri Sangu Awataka MaDG Kuelekeza Mikakati Dira 20
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano Mhe. Deus
Sangu ametoa wito kwa Wakurugenzi wa Taasisi zilizo chini ya Ofisi hiyo
kuhakik...
16 minutes ago

No comments:
Post a Comment