Mheshimiwa Meya wa Manispaa ya Temeke, Maabadi Suleiman Hoja, Akimvisha taji la vipaji Mshindi kutoka Mkoa wa Manyara, baada ya kutangazwa mshindi katika shindano lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Dar Live.
Mshindi wa Taji la Vipaji akiwa na furaha baada ya kutangazwa kuwa mshindi.
No comments:
Post a Comment