Habari za Punde

*MJADALA WA ELIMU NA MATOKEO MABAYA YA KIDATU CHA NNE, KUTOKA KWA WANA DMV


Sehemu ya kwanza ya Wana DMV wakifanya mjadala wa kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeo  mabaya ya kidato cha Nne wakianza kuelezea Elimu zamani ilikuwaje na nini kimesababbisha kuporomoka kwa Elimu, na Je nani alaumiwe na nini kifanyike kuokoa janga hili WASIKILIZE....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.