Habari za Punde

*UZINDUZI WA MUONEKANO WA BIDHAA MPYA ZA AMERICAN GREEN

 Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt, akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden,  iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, jana.
 Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt (kushoto) na  Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi  rasmi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Grden wakati wa hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Wasanii wa Integreted Comunication Limited wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Kingsway International Limited, Murtaza Faizal.
Balozi wa Marekani, Alfonso Lenhardt akizungumza na waandishi wa habarimara baada ya uzinduzi wa muonekano mpya wa Bidhaa za American Garden  iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.