Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA ZARUBEZHSTRY STOCK YA URUSI NA UJUMBE WAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Zarubezhstry Joint Stock ya nchini Urusi, uliyoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo, Bw. Renat Shigapov, walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 29, 2013, kwa mazungumzo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa moja ya mfano wa ramani ya bandari wanazotengeneza katika nchi mbalimbali duniani, na Aleksandra Necheporenko, Naibu Kiongozi wa Idara ya Kimataifa ya Kampuni ya Zarubezhstry Joint Stock ya nchini Urusi baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.