Habari za Punde

*NAPE ATUA BERLIN KUHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 150 YA KUZALIWA KWA CHAMA CHA SPD

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye (katikati) akipokeleewa na baadhi ya viongozi wa Chama cha SPD mjini Berlin, Ujerumani jana, alipowasili kuhudhuria sherehe za miaka 150 ya kuzaliwa kwa Chama hicho cha SPD.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.