Vijana wakibeba mchanga waliochimba katika Daraja la njia panda ya Whie Sands, uliokusanywa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini Dar es Salaam. Wachimbaji hao wamekuwa wakichimbamchanga na kupakia katika maroli yanayokuwa eneo hilo ambapo huaza maroli kibao na trip kibao bila kujali uharibifu wa mazingira pamoja na hali hiyo kupigiwa kelele kila mara, au ndi yale maneno ya 'Nani amfunge Paka Kengere?'. Imeelezwa kuwa magari mengi yanayokuwa yakipakia mchanga huo huwa ni ya baadhi ya wakubwa flani hivi jambo ambalo linasababisha kushindikana kuyakamata magari hayo.
Ridhiwani Kikwete Aongoza Ujumbe wa Tanzania Mkutano wa Bajeti ya EAC
-
Na. Jawadu Kinyobwa (Arusha)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, leo Mei 22, 2026 ji...
43 minutes ago

No comments:
Post a Comment