Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Zingwezingwe wilaya ya Kaskazini B,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi wakila kiapo cha utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.


No comments:
Post a Comment