Habari za Punde

*ZIARA YA MAKAMU WA CCM ZANZIBAR KASKAZINI UNGUJA

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akivalishwa Shada la mauwa na Chipukizi Ashura Salum Sheha,katika makaribisho wakati alipoanza ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono  Viongozi mbali mbali na wanachama lipowasili Ofisi ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja, akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini leo.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Kijini Jimbo la CCM Matemwe,Mkoa wa Kaskazini Unguja leo akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kasakazini Unguja leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Kijiji cha Kijini Jimbo la Matemwe,na kuwafafanulia katiba ya Chama inavyolekeza akiwa katika  ziara ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Mkoa wa
Kasakazini Unguja leo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.