Mwenyekiti wa Mabalozi wa Afrika Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akihitimisha Kikao cha Mbalozi wa Afrika Ubelgiji. Balozi Kamala amewaalika Mabalozi wa Afrika na Wadau wengine wa maendeleo kuhudhuruia Mkutano wa Ushirikiano kwa Manufaa wa Wote utakaofanyika Tanzania kuanzia tarehe 28/06/2013 hadi tarehe 1/07/2013. Aidha, alizitaka nchi za Afrika na Ulaya kuimarisha Ushirikiano katika sekta ya teknolojia.
GGML Kili Challenge Yashiriki Maonesho ya Kilimanjaro Marathon 2026
-
Moshi, Tanzania
GGML Kili Challenge inayotekelezwa kupitia GGML Kili Trust, inashiriki
Kilimanjaro Marathon 2026, maarufu kama “Mbio za Watu”, kupitia...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment