Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mhariori wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa mazungumzo. Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya inavyoendelea baada ya matibabu.
KIJANA SERIKALI HAIHITAJI KELELE INAHITAJI USHIRIKA WAKO
-
Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na matokeo, dhana ya kijana kukaa
pembeni na kupiga kelele kuishtumu serikali inazidi kupitwa na wakati,
badala ...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment