Habari za Punde

*BREAKING NEEEEWZ!!!! MLIMA KILIMANJARO 'KUSHNEY', BARAFU YOTE YAYEYUKA

 Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri.
 Taswira ya mlima huo na Kilele cha Mlima Kibo
Mlima Kilimanjaro Kushney, kama unavyoonekana ukiwa hauna Barafu huku iliyobaki ikielekea kumalizika kwa kuyeyuka.

1 comment:

  1. OMG...........sasa kivutio cha nchi yetu kiko wapi tena

    ReplyDelete

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.