Habari za Punde

*SIKILIZA STORI YA MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEOLEWA TANGU AKIWA NA UMRI WA MIAKA 8-SEHEMU YA 1

 Mtoto wa miaka 12 aliyeishi kwenye ndoa tangu akiwa na miaka 8, kupitia kipindi kinachorushwa na EATV cha Wanawake Live chini ya Super Woman Joyce Kiria.
Joyce Kiria na mtoto wa miaka 12, aliyeishi na Mume tangu akiwa na umri wa miaka 8.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.