Habari za Punde

*CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO MKOA WA PWANI

 Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) c Bw Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakariakuanza kujengwa  Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini elfu kulia kwa makamu  wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema  nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo  Picha na Chris Mfinanga
Uongozi wa chuo cha ifm kilipo tembelea eneo kitakapo jengwa chuo hicho msata wilaya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.