Habari za Punde

*MAN CITY ILIPOKUBALI KICHAPO NYUMBANI

Kipa wa Man City, akiruka kujaribu kuokoa moja ya hatari bila ya mafanikio, wakati wa mchezo wa Ligi ya England uliochezwa jana usiku kwenye dimba la Etihad. Katika mchezo huo Chelsea ilishinda bao 1-0.
BOFYA MSIMAMO ILI KUONA KWA UKARIBU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.