Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar wa Bongo, Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia mtandao wa Jestina George. Check him out below.
Samahani kwa kelele za upepo
No comments:
Post a Comment