Habari za Punde

*DIAMOND AZUNGUMZIA KUHUSU BET NOMINATION 2014 [VIDEO]

Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar wa Bongo, Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia mtandao wa Jestina George. Check him out below. 

Samahani kwa kelele za upepo 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.