Habari za Punde

*DK SHEIN AZUNGUMZA NA BALOZI MSECHU


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi mteule wa Tanzania nchini Sweden Mhe,Dora Msechu , aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo ,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.