![]() |
Mtaalamu wa Kukamata Nyoka, Takribani Miezi Miwili baada ya Mbeya FM Redio Kuripoti uwepo wa Chatu ndani ya Jiji la Mbeya Kukazuka Hofu na Sintofahamu kwa Wakazi wa Jiji. |
![]() |
Wananchi wa Mbeya walijitokeza kwenye Ofisi za Jiji la Mbeya kushuhudia. Cheki Video hii tukio zima la sakata hilo. |
No comments:
Post a Comment