Habari za Punde

*KUTOKA UWANJA WA TAIFA BADO NGOMA DROO, SI NGORONGORO WALA NIGERIA

Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Kelvin Friday (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Nigeria, wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza michuano ya Afrika kwa timu za chini ya Umri wa miaka 20. Mchezo huo unaendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, na bado matokeo ni 0-0.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.