Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa
wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach
jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni Mwakilishi wa Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan Mbambo (katikati) ni Balozi wa
Swewden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano hilo.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akisalimiana na Mjumbe wa Bodi
ya MUHAS Prof Mohamed Bakari, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi
Beach kwa ajili ya ufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa
wa Tiba, jijini Dar es Salaam leo, Mei 14, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akizungumza na Balozi wa
Sweden nchini Tanzania, Balozi Lennarth Hjelmaker, wakati akiondoka katika
Hoteli ya Kunduch Beach baada ya kufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi
na Mabingwa wa Tiba, lililofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiri wa kongamano
hilo.

No comments:
Post a Comment