Makamu
Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la siku mbili la Kampeni ya
kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo
lililofunguliwa leo Mei 9, 2014, linatarajia kumalizika kesho kwenye Ukumbi wa
Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati
akihutubia kufungua rasmi Kongamano hilo, leo kwenye Hoteli ya Hyat Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
asalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai, wakati alipowasili
kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam leo Mei 9,
2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha
mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo linatarajia kumalizika kesho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
asalimiana na baadhi ya washiriki wa Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha
mauaji dhidi ya Tembo, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Hoteli ya Hyat
Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam leo Mei 9, 2014 kwa ajili ya kufungua Kongamano
hilo linatarajia kumalizika kesho.
Washiriki wa Kongamano hilo, wakisimama kumkaribisha mgeni
rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati alipowasili kufungua Kongamano hilo.

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Nakaaya Sumari, akiimba wimbo maalum wa kampeni ya
kutomokeza mauaji ya Tembo, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la siku mbili la
Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano
hilo lililofunguliwa leo Mei 9, 2014, linatarajia kumalizika kesho kwenye
Ukumbi wa Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza wakati wa Kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta
jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu, wakati wakipiga picha
ya pamoja ya kumbukumbu baada ya kufungua rasmi Kongamano la siku mbili la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha
mauaji dhidi ya Tembo, lililofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyat Kilimanjaro
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo, baada ya kufungua rasmi
leo kwenye Hoteli ya Hyat Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakati akiondoka baada ya
kufungua rasmi kongamano hilo linalomalizika kesho kwenye Hoteli ya Hyat
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment