Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akipokea Msaada wa Vyarahani Kutoka kwa Mke wa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mama Wu Yan Ikulu ya Migombani leo,(kushoto) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi na Safia Mlinde Mke Mbunge wa Jimbo la Bumwini.(kulia) .Picha na Othman Maulid
RIPOTI YA JAJI CHANDE: BABY MADAHA AFUNGUKA MAZITO, ACHAGIZA UWAJIBIKAJI
KUPONYA TAIFA
-
Mwanadada Baby Madaha, ambaye si tu ni msanii mwenye historia ndefu, bali
pia ni mdau aliyeshiriki kikamilifu katika kutoa ushahidi mbele ya tume
Tume ...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment