Habari za Punde

*CHAMA CHA UMOJA WA WAKE WA VIONGOZI WATOA MSAADA WA VITABU NA KUOMBA WADAU, MASHIRIKA KUSAIDIA KUCHANGIA NA KUENDELEZA ELIMU YA WATOTO NA VIJANA

 Mlezi wa chama cha wake wa viongozi Mama Tunu Pinda  akipokea  vitabu vyenye thamani ya shilngi milioni 35  kutoka kwa Meneja  Mkuu wa kituo cha kuendeleza vipaji kwa vijana THT Bwana Mwita Mwaikenda na anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama cha wake wa viongozi Germina Lukuvi msaada huo wa vitatabu ni kwaajili ya kusaidia Elimu kwa watoto na vijana wenye ulemavu wa ngozi (ALIBINO) sherehe hiyo ya makabidhiano imefanyika katika makazi ya waziri mkuu jijini Dar es salaam Picha na Chris Mfinanga. 
Picha ya pamoja ya wake wa Viongozi na wafanyakazi wa THT.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.