*MAN CITY WALIVYOTWAA UBINGWA WA LIGI YA ENGLAND JANA
Man City jana wametwaa ubingwa wa Ligi kuu ya England baada ya kuwachapa New Castle kwa mabao 2-1 na kujiongezea pointi 86 zilizowafanya kuwa juu ya Liver Pool wenye pointi 84 na kutwaa ubingwa huo kwa mara ya pili baada ya miaka mitatu.
No comments:
Post a Comment