Baadhi ya watu mbalimbali wakimsikiliza Radhia Ramadhani akiwaonyesha wananchi waliofika katika banda la kenton jinsi ya utengenezaji wa chapati zinazotengenezwa kwa kutumia maziwa ya ngombe pamoja chokoleti ambazo ni rahisi na za kisasa hazitumii unga wa ngano hii ni wakati wa maonyesho ya biashara ya watu wa uturuki ambayo yanaendelea kati viwanja vya Diamondi jijini Dar es salaal
Rais Samia amwomba Drogba kuwa Balozi wa Tanzania AFCON 2027
-
RAIS Samia Suluhu Hassan amemuomba mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa
ya mpira wa miguu ya Ivory Coast na Chelsea ya England, Didier Drogba kuwa
Bal...
10 hours ago


No comments:
Post a Comment