Habari za Punde

*ADAM KUAMBIANA AZIKWA LEO DAR.

Mke wa marehemu Adamu kuambiana,Janeth Rithe akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe

Msanii JB Jacob Steven akiweka shada la maua kwenye kaburi



Jeneza likiingizwa kaburini

Wasanii Steven nyerere na Single Mtambalike wakiweka udongo kwenye kaburi





Jb akisaidiwa na wasanii wenzie kunyanyuka baada ya kuzidiwa na uchungu na kuanguka,wakati akitoa nasaha.Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.