Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali na kumpa pole balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mh.Anthony Ngereza Chehe aliyelazwa katika hospitali ya Ngaliema Health Centre jijnii Kinshasa baada ya kuugua malaria.Rais Kikwete yupo jijini Kinshasa DRC kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Picha na Freddy Maro
RIPOTI YA JAJI CHANDE: BABY MADAHA AFUNGUKA MAZITO, ACHAGIZA UWAJIBIKAJI
KUPONYA TAIFA
-
Mwanadada Baby Madaha, ambaye si tu ni msanii mwenye historia ndefu, bali
pia ni mdau aliyeshiriki kikamilifu katika kutoa ushahidi mbele ya tume
Tume ...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment