Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA VIETNAM.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe wake.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akifuatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiagana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Vietnam Bibi Nguyen Phuong Nga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi na ujumbe aliofuatana nao. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.