Habari za Punde

*MABONDIA MOHAMED MATUMLA NA NASSIBU RAMADHANI KURUDIANA TENA SEPTEMBA 27 FRIENDS CORNER MANZESE

 Bondia Mohamed Matumla (kushoto) na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli,wakati wakipima uzito kwa ajili ya kurudiana katika pambano la raundi 8, linalotarajia kupigwa Septemba 27,mwaka huu kwenye Ukumbi wa Friends Corner Manzese. Katika pambano lao la awali lililopigwa mapema mwaka huu, Matumla alimshinda Nasibu kwa Pointi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.