Habari za Punde

*MAZOEZI YA WAREMBO WA SHINDANO LA MISS TEMEKE YAPAMBA MOTO

 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi  katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu. PICHA ZOTE NA MDAU KHAMIS MUSSA



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.