Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AWAPA ZAWADI WACHEZAJI WA MADRID, FIGO APOKEA KWA NIABA YA WENZAKE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago mchezaji veterani wa timu Real Madrid Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha jioni aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani ya Taifa Stars ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku baada ya mechi ya kirafiki ambapo Real Madrid illifungaTaifa Stars 3-1 katika uwanja wa Taifa. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.