Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe .Picha na Freddy Maro
MAKALA: HOTUBA YA RAIS SAMIA URUSI NI USHINDI KIUCHUMI, KIJAMII, NA
KIDIPLOMASIA!
-
Na Beda Msimbe,TBN, aliyekuwa Urusi
IJUMAA Juni 5, 2026 ilikuwa siku ya kihistoria na ya kipekee, wakati Rais
wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alis...
1 hour ago

No comments:
Post a Comment