Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA APECSA KWA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI KATI NA KUSINI MWA BARA LA AFRIKA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wajumbe wa Mkutano wa Jumuiya ya Apecsa kwa kanda Mashariki,Kati na Kusini mwa Bara la Afrika katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la Jumuiya ya Afika ya mashariki Mjini Arusha leo. Picha na Ramadhan Othman Arusha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.