Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa Stashahada ya Uandishi wa habari, wa Kampuni ya The Guardian Ltd, kutoka (kulia waliosimama) ni Beatrice Philemon, Somoe Ng'itu, Grace Nackson, Renatha Msungu na Salome Kitomar, baada ya kutunukiwa shahada ya Uandishi wa habari, wakati wa sherehe ya mahafali iliyofanyika katika Ukumbi wa Mawela Sinza Vatcan mwishoni mwa wiki iliyopita. Picha na Nasma Mafoto.
Wahitimu wakiingia ukumbini kwa maandamano.
Kutoka (kulia) ni Grace Nackson, Renatha Msungu, Juma Dihule, Somoe Ng'itu na Beatrice, wakishow love wakati wa mahafali yao....
Pooooooz la picha......
Wahitimu hao wakiwa ukumbini wakati wakisubiri kutunukiwa Diproma zao za Uandishi wa Habari.
Mgeni rasmi katika sherehe hizo, Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye, akisoma hotuba yake wakati wa mahafali hayo....
Mpiganaji Juma Dihule, akipokea Cheti chake cha kuhitimu, kutoka kwa mgeni rasmi, Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye......
Picha ya pamoja wahitimu na mgeni easmi...









No comments:
Post a Comment