Habari za Punde

*AJALI YA DALADALA BONDE LA MKWAJUNI LEO

 Daladala linalofanya safari zake Mwenge Kariakoo, likiwa bondeni eneo la Mkwajuni baada ya kupinduka leo na kujeruhi abiria kadhaa waliokuwemo kwenye daldala hilo. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.
Raia wakishuhudia ajali hiyo wakati likitolewa bondeni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.