Habari za Punde

*PICHA ZA MABASI YA ABIRIA YALIYOEGESHWA KITUO CHA UBUNGO BAADA YA MGOMO

Haya ni baadhi tu ya mabasi yaendayo mikoani yakiwa yameegeshwa kwenye Kituo cha Mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam, baada ya madereva wake kuendelea na mgomo ulioanza leo asubuhi.

Huku nako ni katika baadhi ya barabara za mitaa...

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.