Habari za Punde

*RAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA OPERESHENI TOKOMEZA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji(Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri  Msumi akimkabithi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ripoti ya Uchunguzi wa Tume hiyo katika hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Kikwete aliiteua tume hiyo mwaka jana kuchunguza tuhuma za uvunjifu wa sheria katika utekelezaji wa operesheni hiyo.
 Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi kuhusu operesheni tokomeza Jaji (Mstaafu) Balozi Hamisi Amiri  Msumi, akizungumza na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kumkabidhi ripoti hiyo. 
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa operesheni Tokomomeza ikulu leo. Picha na Freddy Maro.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.