Habari za Punde

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA TIMU YA MAVETERANI BACELONA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohammed Shein akipokabidhiwa Jezi ya Bacelona namba 14 ya mchezahji wa zamzni akiwa kocha Johan Cruyff (kushoto)wakati wa hafla fupi ya chakula jioni  iliyofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar timu hiyo ilipokutana na Rais. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.