Habari za Punde

*TANGAZO LA MSIBA

Habari wadau, naomba kuwajulisha kuwa mwanafamilia mwenzetu, mkongwe katika uandishi wa habari za michezo, Masoud Sanani, amefiwa na mama yake mzazi huko kisiwani Pemba. Msiba ulitokea jana hukohuko Pemba na maziko yanafanyika asubuhi hii.

Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377.
 
Katibu Mkuu TASWA
07/04/2015

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.