Waziri
wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akipiga mahesabu ya haraka haraka na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius
Likwelile,
baada ya kuulizwa swali na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw. Makhatar Diop,( hayupo kwenye picha).Kulia ni Bw.
Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania na kushoto ni Gavana msaidizi wa Benki kuu ya Tanzania Bi. Natu Mwamba.
Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw.
Makhatar Diop
pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki
ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitafuta
kitu cha kumuuliza Waziri wa fedha (hayupo kwenye picha)katika mkutano
uliofanyika mjini Washington DC.
Ujumbe
wa Mkutano huo kutoka pande zote mbili yaani Tanzania na Benki ya Dunia, wakiwaangalia
wajumbe waliokuwa wakijitambulisha.
Waziri wa Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akijibu maswali aliyokuwa akiulizwa na Makamu
wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa Afrika Bw.
Makhatar Diop aliyeko mbeleyake.Kulia
kwa Waziri ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatiwa na Bw.
Rished Bade Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia ukanda wa
Afrika Bw. Makhatar Diop na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier,wakimsikiliza kwa
makini Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Salum Mkuya alipokuwa akitoa msimamo wa Tanzania katika kutano huo
uliofanyika mjini Washington DC. Picha zote na Ingiahedi C. Mduma –
Washington DC.

No comments:
Post a Comment