Umati wa watu wakiwa tayari wamefurika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kumsubiri Mhe. Edward Lowassa, kuhutubia taifa kwa ajili ya kutangaza nia yake ya kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Nje ya uwanja nako hadi hivi sasa bado kumefurika wananchi wakimenyana kugombea kuingia uwanjani humo.
Baadhi ya wabunge pia wahakubaki nyuma, wamejitokeza kumsapoti na kumsikiliza Mhe.Lowassa.
Hizi ni baadhi ya tu ya mbwe mbwe na kuelekea nukta ya mkutano wa leo.
Hapa ni nje ya uwanja watu wakimenyana kuingia uwanjani.
Baadhi ya wafuasi wa Lowassa, wakipita mitaani na mabango
Maandamano ya wafuasi wa Lowassa.
Maandamano ya wafuasi wa Lowassa.
Ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid.













No comments:
Post a Comment