Habari za Punde

*MAZIKO YA WANA CCM WALIFARIKI KWA AJALI JANA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika swala ya maiti kumswalia Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja katika msikiti wa  marehemu aliyefariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka huko  Mtowapwani Kaskazini jana.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka huko  Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
 Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika maziko ya Marehemu Bi Mwanaidi Zamir Haji miaka 28 mkaazi wa Magogoni Mjini Unguja aliyefariki kwa ajali ya  gari iliyopinduka huko  Mtowapwani Kaskazini jana na kuzikwa leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akimfariji Salhia Sheha Khamis mkaazi wa Kwamtipura aliyelazwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja jana baada ya kupata ajali ya kupinduka kwa gari iliyobeba wanaCCM wakitokea Nungwi katika shuhuli  za kichama katika ajali hiyo watatu wamefariki Dunia.
 Baadhi ya Wananchi na wanaCCM wakibeba jeneza la Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi wa Mkele Mjini Unguja aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi Marehemu amezikwa leo makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi vuai Nahodha waliongana na Wananchi na wanaCCM katika maziko ya Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi wa Mkele aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi Marehemu amezikwa leo makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi vuai Nahodha waliongana na Wananchi na wanaCCM katika kumuombea Dua  Marehemu Bi Munira Abdalla Mkaazi wa Mkele aliyefariki kwa Ajali iliyotokea jana Mkokotoni Mtowapwani kwa kupinduka Waliokuwa wamepanda wanachama wa CCM wakitokea Nungwi, Marehemu amezikwa leo  katika makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.