Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi ya Vodacom, Fatuma Abdallah (wa tatu kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja mchezaji wa Coastal Union, Godfrey Wambura, baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi wa pili mwaka 2015, (kulia) ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Khalid Abdallah na (kushoto) ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Coastal Union, Salim Bawaziri. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Tanga. Picha kwa hisani ya Coastal Union.
Kocha Julio akimpongeza mchezaji wake.
No comments:
Post a Comment