Habari za Punde

*BALOZI IDDI AMJULIA HALI MWASISI WA ASP NA CCM, MZEE KOMBO

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muasisi wa Chama cha ASP na muanzilishi wa Chama cha Mapinduzi Mzee Kombo  Mzee Kombo wakati alipokwenda nyumbani kwake Miembeni kumjulia hali. Picha na –OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.