Afisa Mwandamizi Idara ya Huduma na
Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose Mahendeka
akiwasilisha Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka
2014 kwa viongozi wa Baraza la Maaskofu Tanzania na kuwaeleza jinsi
ilivyoziongelea jinsi ilivyozieleza Taasisi za Dini hasa katika masuala ya
ulipaji kodi, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo la Tabora akichangia kwenye moja ya maeneo ya Sheria mpya
ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es
Salaam
Father Ludovick Minde wa Jimbo la Kahama
akichangia kwenye moja
ya maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014,
wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Idara ya Huduma na
Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose Mahendeka
akiwaeleza jambo wajumbe wa baraza la Maaskofu Tanzania wakati wa Mkutano
uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Na
Hassan Silayo-MAELEZO







No comments:
Post a Comment